Friday, October 4, 2013

AFARIKI KWENYE MKESHA WA MWENGE WILAYANI RUNGWE MKOA WA MBEYA



WATANZANIA WAKIWA WAMEFURIKA SANA KATIKA UWANJA WA MPIRA TUKUYU ILI KUSIKILIZA UJUMBE WA MWENGE WA MWAKA 2013 KUWA WATANZANIA NI WAMOJA, RUSHWA ADUI WA HAKI, , MAPAMBANO YA UKIMWI NA ATHARI ZA MADAWA YA KULEVYA NA MATUMIZI YA KILEVI KUPINDUKIA
BANDA AMBALO MAREHEMU MWAKAMMOJA ALIPATIKANA AKIWA AMEKUFA

KIJANA ANAYEFAHAMIKA KWA JINA LA MWAKAMMOJA ANAYEJISHUGHURISHA NA KUBEBA MIZIGO KATIKA STANDI YA TUKUYU AKIWA AMEFARIKI DUNIA SIKU YA MKESHA WA MWENGE TUKUYU


WATOTO WA HALAIKI WAKIIMBA KWA UKAKAMAVU WIMBO WA TANZANIA NAKUPENDA

ULIPOFIKA WAKATI WA UJUMBE WA MWENGE MWAKA 2013 PAMOJA NA KUNYESHA MVUA KUBWA MKIMBIZA MWENGE MOJA YA MAMBO MAKUBWA ALIYOYASEMA NI KUWA WATANZANIA NI WAMOJA, TUSIGAWANYWE KWA MISINGI YA DINI, SIASA, RANGI NA RASILIMALI PIA ALIWAASA HASA VIJANA KUACHA KUTUMIA POMBE AINA ZA VILOBA KWAKUWA HAZINA VIWANGO NA VINA MADHARA YA AFYA

BAZINGIRA YA KIFO CHA MWAKAMMOJA YAMEZUNGUKWA NA HALI YA KILEVI  KWA MATUMIZI YA POMBE AINA YA VILOBA NA HALI ILIYOKUWEPO YA BARIDI KALI NA MVUA KUBWA ILIYONYESHA MFURULIZO HADI ASUBUHI ALIPOKUTWA AMEFARIKI




MAZINGIRA YA KIFO CHA MWAKAMMOJA


No comments: