Thursday, October 3, 2013

MAJAMBAZI WAVUNJA NA KUIBA VIFAA VYA KAZI KATIKA OFISINI YANGU USIKU WA KUAMKIA LEO TUKUYU WILAYANI RUNGWE MKOA WA MBEYA

HAPA NI SEHEMU YA NGAZI ZA KUPANDISHIA OFINI NA KWA CHINI YA NGAZI MLINZI NDIPO ANAPOJIPUMZISHA LAKINI WEZI WAMEFANIKIWA KUVUNJA MILANGO MITATU YENYE VITASA NA KOMEO ZA MAKUFURI NA KUFANIKIWA KUIBA VIFAA VYA KAZI.

SEHEMU YA JUU MADILISHA MATATU NDIO OFISI YA KINGO SUPER PRODUCTION ZINAPOFANYIKA KAZI MBALIMBALI ZA HABARI NA VIDEO DOCUMENTARY PAMOJA NA STATIONARY


VIFAA VILIVYOIBIWA NI PAMOJA NA COMPUTER ZA MEZANI LAPTOP, VIDEO CAMERA 2, STILL CAMERA 1 PAMOJA NA VIFAA VYA STATIONARY NA PESA LAKI TATU.

HAPA MLAGO WA KUINGILIA OFSINI  UKIWA UMEVUNJWA


JINSI MILANGO ILIVYOVUNJWA NA KUFANIKIWA KUINGIA OFISINI NA KUIBA VIFAA VYA KAZI
KINGOTANZANIA - 0752881456
................................................................................
Post a Comment