Polisi wakiwa katika ulinzi mkali
Maduka yakiwa yamefungwa
Wafanya biashara wakiwa uwanjani kungoja kusikiliza nini hatma yao
Baadhi ya watu wakiwa wanakimbia Baada ya Mabomu ya machozi kuanza kurushwa kuepusha vurugu
Mawe yakiwa yamepangwa kuzuia magari yasiende kokote
Maduka yote yakiwa yamefungwa eneo la mwanjelwa kupinga ununuzi wa mashine hizo za TRA
Vijana hawa wakiwa wana nawa uso baada ya Bomu la machozi kuwapitia huku wakishidwa kujibu swali la je nao wanahusika na kununua mashine hizo za TRA?
Jiwe kubwa likiwa limewekwa katika Barabara magari yasipite
BARABARA ZINAZOENDELEA KUJENGWA JIJINI MBEYA KWA GHARAMA KUBWA ZINACHOMWA NA VIJANA WAFANYA VURUGU SABABU YA MASHINE YA TSH 800,000/= |
Hali tete Tayari vijana wameanza kuchoma mataili.....
HALI YA VURUGU INAELEKEA KWISHA SASA JIJINI MBEYA NI BAADA YA POLISI KUWEKA ULINZI MKALI, KIKAO BAINA YA SERIKALI NA WAFANYABIASHARA KUFANYIKA MCHANA WA LEO.
Polisi
wakiwa wanasindikiza gari la matangazo ambalo lilikuwa likitangaza
kuomba Vurugu hizo na maandamano yasiyo Rasmi yasimamishwe
Ulinzi ukiwa unazidi kuongezeka kama inavyo onekana pichani Muda huu...
Taarifa
za awali zinasema kwamba kuna mkutano wa Ghafla umeandaliwa hapo saa
nane mchana ambapo wafanya biashara pamoja na wahusika kutoka Serikalini
watakutana ili kujadili suala hilo la Mashine hizo.
No comments:
Post a Comment