Wednesday, October 2, 2013

WATU WAWILI WAFARIKI DUNIA KUTOKANA NA AJALI MBAYA YA GALI KUTUMBUKIA KATIKA MTO KIWIRA ENEO MAARUFU LA UWANJA WA NDEGE WILAYA YA RUNGWE MKOA WA MBEYA

GALI LIKIWA MTONI BAADA YA KUMSHIDA DELEVA FESTO NA KUSABABISHA VIFO VYA WATU WAWILI DELEVA NA MSAIDIZI WAKE
DELEVA WA GALI LILIOPATA AJALI  AMBAYE AMEFAHAMIKA KWA JINA MOJA LA FESTO AKITLEWA NA WASAMALIA WEMA MTONI


BAADHI YA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA WAKIWA WANASHUHUDIA AJALI MBAYA ILIYOTOKEA KATIKA MTO KIWIRA MAENEO YA UWANJA WA NDEGE

GALI LIKIWA LIMEHARIBIKA KABISAMAREHEMU FESTO

MKUU WA WILAYA YA RUNGWE CHRISPIN MEELA AKIONGEA NA KINGOTANZANIA NA KUTHIBITISHA KUTOKEA KWA AJALI HIYO HUKU AKIELEKEZA KUANZA MCHAKATO WA KUANGALIA UWEZEKANO WA KUFANYA MAREKEBISHO YA KONA HIZI ZA UWANJA WA NDEGE MAANA NI KILA SIKU AJALI HUTOKEA NA KUSABABISHA VIFO HIVYO AMEAHIDI KUONANA NA WIZARA YA UJENZI KUANZA KUSHUGHULIKIA SUALA HILIKWA MADELEVA WA MAGARI WANAOTUMIA BARABARA YA UYOLE MBEYA HADI TUKUYU WANAPASWA KUJUA HALI YA MITELEMKO MIKALI NA KONA KATIKA BARABARA HII HIVYO UMAKINI WA KUKAGUA GALI KABLA YA KUANZA SAFARI NI JAMBO LA MUHIMU
KINGOTANZANIA
...........................................
Post a Comment