Wednesday, October 23, 2013

BAADHI YA WAKULIMA WA CHAI WILAYANI RUNGWE HATARINI KUWA MANAMBA KATIKA MASHAMBA YAO WENYEWE KWA KUKODISHA MASHAMBA YAO KWA MWEKEZAJI MKUBWA

MHE, SAID NKUMBA MBUNGE WA SIKONGE TABORA NA MWENYEKITI WA KAMATI YA KILIMO, MIFUGO NA MAJI AKIWA NA KAMATI YAKE KATIKA ZIARA YA SIKU MOJA WILAYANI RUNGWE KUJIONEA KILIMO CHA CHAI NA JINSI KINAVYOWANUFAISHA WAKULIMA WILAYANI RUNGWE

KULIA MKURUGENZI WA WATCO PETER RWOLAND AKIWAKARIBISHA WAGENI KUTEMBELEA SHUGHURI ZA KILIMO CHA CHAI NA KUWATEMBELEA WAKULIMA PIA KUWAPA ZAWADI WAKULIMA SITA WALIOFANYA VIZURI KATIKA MWAKA 2013

MTAALAMU WA KILIMO MR MHAGAMA AKIWAELEZA WAGENI JINSI MBEGU MPYA YA ZAO LA CHAI LITAKAVYOKUWA NA FAIDA KWA MKULIMA KWA KUZALISHA HEKTA MOJA KILO 3500 KWA CHAI KAVU NA WAKATI AWALI ILIZALISHA KWA KIWANGO CHA CHINI


ZAO LA CHAI WILAYANI RUNGWE NI ZAO LA MUHIMU KIBIASHARA KWA KUWA NI LA UHAKIKA KWA KIPATO CHANGAMOTO NI UENDELEZWAJI WAKE  KWA KUWA IMEJENGEKA KUWA WAKULIMA NI WAZEE NA VIJANA WALIOWENGI KUTOJIHUSISHA NA ZAI HILI LENYE UHAKIKA WA KIMATO KWA KILA MWEZI NA MAPATO YA MABAKI PAMOJA NA HISA KWA WALIOWEKEZA.

KITALU CHA MICHE YA KISASA AMBACHO NI KATI YA VITALU AMBAVYO WAKULIMA WILAYANI RUNGWE WATANUFAIKA NACHO KWA KUPANDA MICHE BORA NA YENYE UZALISHAJI MKUBWA


MKULIMA AKICHUMA CHAI TAYARI KWENDA KUIUZA


MWENYEKITI WA KAMATI YA BUNGE YA KILIMO ,MIFUGO NA MAJI AKISISITIZA SUALA LA WAWEKEZAJI NCHINI LA KUWALUBUNI WAKULIMA KWA MIKATABA MIBOVU YA KUKODISHA MASHAMBA YAO HUKU WAKULIMA WASIPATE HUDUMA ZA KUTUNZA SHAMBA LAKIN MWEKEZAJI AKINUFAIKA KWA KUPATIA MIKOPO HUKU MKULIMA AKIZIDI KUWA MASKINI NA MANAMBA KATIKA SHAMBA LAKE

KWABAHATI MBAYA MSHINDI WA KWANZA KITAIFA AKITOKEA WILAYA UA RUNGWE AMESHAFARIKI DUNIA LAKIN ZAWADI YAKE IMECHUKULIWA NA MKEWE TSH MILION MOJA

KAMATI YA BUNGE YA KILIMO, MIFUGO NA MAJI WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA WASHINDI SITA WA WAKULIMA WA CHAI KITAIFA . WASHINDI HAWA WAMEPEWA ZAWADI  YA PESA KAMA MOTISHA YA UKULIMA WA CHAI WILAYANI RUNGWE KWA MWAKA 2013, HUKU MSHINDI WA KWANZA AKIWA NI MKULIMA KUTOKA RUNGWE KITAIFA NA KWABAHATI MBAYA AMESHAFARIKI DUNIA MWAKA HUU LAKIN ZAWADI YAKE IMECHUKULIWA NA MKEWE WA TONO KUTOKA KUSHOTO WALIOSIMAMA NA WASHINDI WAMEPATA UTABULISHO WA VYETI KWA USHINDI WAO


JAPOKUWA USIKU UMEINGIA LAKIN LAZIMA KAZI IFANYIKE HAPA NI MR KAMBASILA KUSHOTO AKIMWELEZA MWENYEKITI WA KAMATI YA KILIMO, MIFUGO NA MAJI KIWANDA CHA CHAI NAVYOFANYA KAZI KWA KUZINGATIA UBORA NA VIWANGO ILI KUWA NA BIDHAA ISIYOKUWA NA SHIDA SOKONI

SEHEMU YA MASHINE IKIWA INASAGA CHAI IWE TAYARI KWA WALAJI

CHAI ILIYOTAYARI KWA MAUZO

MKURUGENZI WA WATCO PETER RWOULAND AKIELEZA JINSI YA UZALISHAJI WA CHAI UNAVYOENDELEA HADI SASA NA MABORESHO YANAYOENDELELEA KUFANYIKA ILI KUONGEZA KIPATO KWA MKULIMA NA MWEKEZAJI

KULIA LEBI MWAKATOBE MTENDAJI MKUU WA RSTGA NA MWENYEKITI WA BODI RSTGA JOHNSON MWAKASEGE

WATENDAJI WA WATCO KATUMBA TUKUYU

KINGO TANZANIA INAWATAKIWA WAKULIMA WA CHAI KILIMO CHEMA NA WAUNGANE KWA PAMOJA ILI KUIMARISHA UMOJA WAO KWA AJILI YA KUWA NA SAUTI YA NGUVU KATIKA KUTETEA MASLAHI YA KILIMO CHA CHAI WILAYANI RUNGWE

Post a Comment