Tuesday, October 22, 2013

HUJUMA NZITO RELI YA TAZARA, HUJUMA ZAFANYWA NA WAUZA VYUMA CHAKAVU MKOANI MBEYA

WAKATI SERIKALI IKIWEKA MIKAKATI YA KUNUNUA VICHWA VYA TRENI  YA TAZARA HUKU WENGINE WANAFANYA KAZI YA KULIHUJUMU SHIRIKA HILO KWA KUFUNGUA NA KUIBA MATALUMA YA RELI HIYO KUPELEKA KUUZA KAMA VYUMA CHAKAVU


HII HATARI SANA HAPA TAYARI WAMEFUNGUA NATI ZOTE

WAHUSIKA MPOOOOO?


JAMAA WASHAMALIZA KABISA KUIBA VYUMA VYA KINGO ZA DARAJA LA TRENI MAENEO YA MBALIZI MBEYA BADO TU KUIBA MATAALUMA YA RELIVYUMA VYA KINGO YA DARAJA VYOTE VIMEIBWA

TRENI HIYOOOOO INAPITA  MLEMLE KULIKOFUNGULIWA BOLT  JE WAHUSIKA MNALIONA HILI?

MAISHA YA WATANZANIA NA WAZAMBIA WANAO TUMIA RELI HII KWAKWELI YAKO HATALINI SANA ILA KWAKUWA TUSHAZOEA JANGA KUBWA LIKITOKEA NDIPO MATENGENEZO YATAFANYIKIKALAKIN KWA SASA UHARIBIFU HUU UNAANGALIWA KA SI KITU
Post a Comment