Saturday, October 26, 2013

WAKULIMA WA CHAI 475 WILAYANI RUNGWE MKOANI MBEYA WANAOISHI NA VVU WAPEWA MAFUNZO YA UKULIMA WA MBOGAMBOGA ILI KUIMALISHA AFYA ZAO NA KUONGEZA KIPATO

EZEKIA KAGIZO MRADIBU WA UKIMWI WA WATCO NA RSTGA AKIFUNGUA MAFUNZO YA UZALISHAJI WA MBOGAMBOGA ZA MAJANI KWA WAKULIMA WA CHAI WADOGO WILAYANI RUNGWE  AMBAO NI WAATHIRIKA WA UGONJWA WAUKIMWI WALIOJIKUBALI NA KUWA WAWAZI KATIKA JAMII


WASSHIRIKI WA MAFUNZO YA SIKU MBILI KUHUSU KUANDA MBOGAMBOGA KWA AJILI YA RISHE NA KUONGEZA KIPATO NA KUIMALISHA AFYA ZA WAKULIMA WA CHAI ILI KUONGEZA UZALISHAJI WA  ZAO LA CHAI
MRATIBU WA UKIMWI WATCO NA RSTGA EZEKIEL KAGIZO AKIELEZEA MRADI MZIMA UZALISHAJI WA MBOGA MBOGA JINSI UTAKAVYO WANUFAISHA WAKULIMA WA CHAI KWA KUBOLESHA AFYA ZA WAATHIRIKA NA UKIMWI ILI KUWA NA AFYA NJEMA KATIKA UZARISHAJI WA ZAO CHAI

Post a Comment