Sunday, October 27, 2013

(NIMEBEBA JINA KUBWA) ALBAMU MPYA YA PILI YA CALVART TUKUYU, YATARAJIWA KUZINDULIWA TAREHE 03.11.2013 KATIKA KANISA LA KKT USHARIKA WA TUKUYU MJINI KARIBUNI NYOTE KUMSIFU MUNGU WETU

MARY KINGO AKIONGOZA WIMBO MMOJA KATIKA ALBAMU YA NIMEBEBA JINA KUBWA
KULIA MUSA MVELA , CAROLINE KINGO NA YUKO MWAITEBELE WAKIWA KATIKA HUDUMA YA KUMSIFU MUNGU NDANI YA VIDEO YA NIMEBEBA JINA KUBWA


ALLY KINGO

LUCAS MBOYA

LUCAS NA KINGO KATIKA KAZI HAPA TUKIWA LOCATION YA KITULO MAKETE IRINGA

TUKIWA OFISIN TUMETEMBELEWA NA MUIMBAJI BAHATI BUKUKU KUJIONEA KAZI YA CALVARY TUKUYU

IKIWA NI HATUA YA MUHIMU SANA GRAPICS BAADHI YA WAIMBAJI HUSIKA WANATAKIWA KUWEPO STUDIO ILI KUANGALIA HATUA KWA HATUA ZA EDITING YA VIDEO, HAPA KULIA NI DAUD MWAIFUNGA AKIWA NA NISSA MWAITEBELE WAKIWA MAKINI KUANGALIA NA KUSHAURI NINI KINATAKIWA KATIKA VIDEO YA ALBAM HII MPYA

 
UKIWA NA KAZI YA KUTENGENEZA VIDEO COVERAGE AU DOCUMENTARY FIKA LTV AU KSP KWA MAWASILIANO 0752881456 & 0713519162
Post a Comment