Monday, October 28, 2013

WATU WATANO WAFARIKI HAPOHAPO KUTOKANA NA AJALI YA GARI AINA YA COSTER KATIKA MPAKA WA SONGWE NA MBOZI MKOANI MBEYA

Basi la abiria aina ya coaster lenye namba za usajili  T378ADR likiobnekana muda mchache baada ya kupata ajali.
 Basi la abiria aina ya coaster lenye namba za usajili  T378ADR  likiwa limeharibika vibaya mara baada ya kupata ajali hiyo
Kiatu cha Abiria kikiwa kimebaki baada ya ajali hiyo 
 Wakazi mbalimbali wa mpakani mwa Mbozi na Songwe wakishuhudia Ajali hiyo 
 Hapa Basi la abiria aina ya coaster lenye namba za usajili  T378ADR baada ya kupata ajali 
 Baadhi ya watu wakiangalia kama kutakuwa na watu wamebakia katika ajali hiyo 
 Usukani wa Dereva ukiwa umetoka mara baada ya ajali hiyo 
 Basi la abiria aina ya coaster lenye namba za usajili  T378ADR  linavyo onekana kwa mbele 
 Hivi ndivyo Basi la abiria aina ya coaster lenye namba za usajili  T378ADR lilivyo haribika 
 Wananchi Mbalimbali wakiwa wanashuhudia ajali hiyo na kutoa msaada 
 Mmoja ya Majeruhi baada ya kufikishwa hospitali.
Post a Comment