Tuesday, October 29, 2013

MBEYA CITY FC YAIBAMIZA TANZANIA PRISONS KWA MAGOLI 2-0, MECHI YAPATI UPINZANI MKALI MBEYA .

 Mashabiki wa Mbeya City Fc wakishangilia Goli la Kwanza 
 Mashabiki wa Mbeya City Fc wakishangilia Goli la Pili 
Mpira Unaendela ....
 Mpira umekwishaaa Wachezaji wa Mbeya City fc wakiwa wanashukuru kwa ushindi.. huku moja wa mashabiki akiwa anakimbizwa na Polisi 

 Wachezaji wa Mbeya City fc wakiwa wanashangilia Ushindi 
Hapatoshi Mashabiki wa Mbeya City Fc wakishangilia ushindi 


BREAKING NEWS! AJALI YATOKEA MLIMA WA MZALENDO IGAWILO JIJINI MBEYA KUELEKEA DAR ES SALAAM.


 LORI BAADA YA KUDONDOKA
 HILI NDILO TERA LILILO DONDOKA
Lori likiwa limeharibika vibaya baada ya ajali hiyo 
Majeruhi wakiwa wanakimbizwa hospitalini 
Hivi ndivyo lilivyo haribika upande wa mbele 
Huyu ni Dereva na Konda wake wakiwa wameumia na wanakimbizwa hospitalini 
Gari Likiwa limeanza safari kuwapeleka hospitali 
PICHA NA MBEYA YETU

KINGO TANZANIA -  0752881456


Post a Comment