Wednesday, October 30, 2013

DAWASCO ,WAGOMA KUZIBUA CHEMBA ZA MAJI MACHAFU MWENGE NYUMA YA GHOROFA ZA JESHI, WANANCHI WAHOFIA MAGONJWA YA MLIPUKO


 HUU NI MTO MPYA ULIO JAAA MAJI MACHAFUU TOKA CHOONI
 MTO HUU AMBAO UMESABABISHWA NA MAJI TAKA UNAZIDI PAMBA MOTO
 SASA HUU NI UCHAFU UNAOTOKA KATIKA CHEMBA HIZO, WANANCHI WASIKIKA KUSEMA NDIO SAMAKI WA ENEO HILI
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA READ MORE

 
 IMEKUWA KAWAIDA .. WATOTO WALIONEKANA WANASHANGAA HAPA
 UNAWEZA KUTAPIKA LAKINI HII NDIO HALI HALISI CHEMBA INAMWAGA MAJI KAMA


 HII INASIKITISHA SANA

 HIKI CHOTE NI KINYESI IKIWA LEO NI SIKU TANO WANAPIGIWA SIMU HAWAJII NG'OO


 TAZAMA BALAA HILI JAMANI KWELIII!!

BWAWA LA DAWASCO LIKIWA KARIBU NA MLANGO YA WATU

****

HAKIKA KWELI MWENYE NACHO ABAKIE NACHO HIVYO... HIVI WANANCHI KULIA KOTE TAKRIBANI WIKI NZIMA KUWAOMBA NA KUWANYENYEKEA DAWASCO WAJE KUZIBUA CHEMBA ZA  MAJI TAKA LAKINI BILA KUJALI HAWAJAFIKA , WAMEPIGIWA SIMU HADI LEO MIDA YA SA SITA MCHANA WAMEPOKEA SIMU, LAKINI HAWAJAFIKA....

MBAYA ZAIDI SIMU IMEPIGWA KWA MUHUSIKA MOJA KWA MOJA MIDA YA SAA KUMI LAKINI NAE HAKUPOKEA SIMU HIYO KWA KUONA KUWA NI KERO KWAKE MAANA WANANCHI WATAOMBA SWALA HILO HILO 

SASA JE HILI NI JUKUMU LA NANI? WANANCHI WAMLILIE NANI? JE KAMA HAWA WAHUSIKA WANGEKUWA WANAKAAA MTAA HUU AMBAO UNAITWA NI MTAA WA MAVI WANGEPENDAAA

"HEBU TUSAIDIENI JAMANI TUNAKUFA NA HII HARUFU MBAYA, HATULALI NA TUNAOGOPA MAGONJWA YA MLIPUKO." ALISEMA MMOJA WA WAKAZI WA ENEO HILI 

PICHA NA DAR ES SALAAM YETUPost a Comment