Sunday, November 3, 2013

MWENDO WA USHINDI: MBEYA CITY FC YAIBAMIZA ASHANTI UNITED GOLI MOJA KWA BILA.

Timu ya Ashanti United ikiwa katika picha ya pamoja kabla ya Mpira  kuanza 
 Timu ya Mbeya City Fc ikiwa katika Picha ya Pamoja Kabla ya mpira kuanza 
 Picha ya pamoja na waamuzi 
 Wakisalimiana Kabla ya Mechi kuanza 
 Hatari pale ... Kila mmoja anakimbilia mpira pale 
 Mpira unaendelea 
 Na mpira umekwisha 
 Wakisalimiana baada ya Mpira kwisha 
 Wachezaji wa Mbeya City Fc wakiwa wanashangilia Baada ya mpira kumalizika 
 Ashati United pamoja na Mbeya City Fc wakiwa wanaondoka Mara baada ya Mpira Kumalizika 
Ulinzi ukiwa makini kabisa kama inavyo onekana ...

Picha zote na Mbeya yetu

No comments: