Tuesday, November 12, 2013

Dr Sengondo Mvungi amefariki Dunia

 

BREAKINGNEWS_0d1d1.gifDkt.SengondoMvungi1_9c06b.jpg
Taarifa zilizotufikia ni kuwa Ndugu yetu Dr.Sengondo Mvungi Amefariki mnamo Majira ya Saa Tisa na Nusu katika hospital ya Milpark nchini Afrika kusini .Mungu ailaze Roho ya Marehemu Mahali Pema Peponi.
DR SENGONDO MVUNGI ENZI ZA UHAI WAKE
Post a Comment