|
KIWANDA CHA CHAI KATUMBA KINACHOMILIKIWA NA WAKULIMA WADOGO KWA HISA YA 30% LAKINI MATARAJIO NI KUFIKIA HISA 49% KUFIKIA MIAKA MIWILI IJAYO
SOMA ZAIDI ...
|
|
BAADHI YA WANACHAMA WA RSTGA WAKISIKILIZA MAADA KWA MAKINI |
|
KWAKUWA
NI MWAKA WA UCHAGUZI RSTGA NI UMOJA UNAOENDESHWA KWA DEMOKRASIA YA
KUCHAGUA VIONGOZI KILA BAADA YA MIAKA MINNE HIVYO HAPA WAJUMBE WA SKIMU
INAYOUNDWA NA VIJIJI WAKIWA KATIKA CHAGUZI ZA KUCHAGUA VIONGOZI WAO HUKU
WAKIENDELEA NA MAFUNZO YA JINSI YA KUTUNZA MASHAMBA KUTOKA KWA WATAALAM
WA WATCO |
|
MKULIMA
BORA WA CHAI TANZANIA JOSEPHEN NJUNUSI AKIWA SHAMBANI KWAKE SHAMBA
ALILOKUWA ANAMILIKI NA MUMEWE ZEFRINI NJUNUSI ILA KWA BAHATI MBAYA BAADA
YA MASHINDANI NA WAO KUCHAGULIWA KUWA WASHINDI WAKISUBIRIA ZAWADI
AMBAYO HUKABIDHIWA KATIKA SHEREHE YA NANENANE NA RAIS BASI KWA BAHATI
MBAYA MZEE ZEFRIN NJUNUSI AKAFARIKI DUNIA 14/06/2013 NA ZAWADI TSH
MILION MOJA KUKABIDHIWA MKEWE |
|
NA
HILI NDILO KABURI LA ZEFRINI NJUNUSI AMBAYE NDIYE MSHINDI WA SHAMBA
BORA LA CHAI TANZANIA NA ZAWADI YAKE YA TSH MILIONI MOJA KUKABIDHIWA
MKEWE |
|
JOSEPHEN
NJUNUSI AKIELEZA MAFANIKIO YA CHAI AMBAPO ANASEMA KUWA SHAMBA HILI
WALINUNUA MWAKA 1991 YEYE NA MUMEWE LAKINI LIMEWAWEZESHA KUINUA KIPATO
CHA FAMILIA KWA KUJENGA NYUMBA BORA, KUSOMESHA WATOTO SABA HADI NGAZI YA
CHUO KUFUNGUA BIASHARA MBILI DUKA LA BIDHAA ZA NYUMBANI NA GROSALI ZOTE
ZIKIWA NI MALI ZINAZOTOKANA NA SHAMBA LA CHAI, HIVYO AMEWATAKA WATU
WANAOBEZA KILIMO CHA CHAI KUWA HAKINA MANUFAA NI UONGO ULIOPINDUKIA NA
AMEWATAKA BAADHI YA WAKULIMA WANAOMMILIKISHA MASHAMBA YAO MWEKEZAJI
MKUBWA KWA MIKATABA ISIYO NA FAIDA KWA MKULIMA KUACHA MAANA MKULIMA
UNAGEUKA KUWA MANAMBA KATIKA SHAMBA LAKO MWENYEWE NA FAIDA ZA CHAI
HUZIONI KWA KUWA UNAKOSA PEMBEJEO NA VIFAA VYA KUHUDUMIA SHAMBA PIA
MKULIMA ANAKOSA HUDUMA WA WAGANI ZITOLEWAZO NA WATCO AMBAO NDIO WABIA WA
KIWANDA CHA KUZALISHA CHAI WILAYANI RUNGWE |
|
ILI
KUONGEZA UZARISHAJI MPYA WATCO INAMIPANGO ENDELEVU YA KUANDAA VITALU
VYA ZAO LA CHAI KIKIWA TAYARI KWA KUPANDA AMBAPO KWA MWAKA HUU MICHE
1,500,00 HIVYO UONGOZI WA RSTGA UNATAMKO LA KUPINGA KUWA WAKULIMA WA
CHAI RUNGWE WANAMPANGO WA KUACHA KULIMA CHAI NA NA MASHAMBA CHAI
KUBADIRISHA ZAO LINGINE HIVYO MIKAKATI HII INAONYESHA WAKULIMA WA CHAI
RUNGWE WALIVYO JIANDAA KUJIKOMBOA NA KUONGEZA KIPATO KUPITIA ZAO LA CHAI
HIVYO TAMKO LA KUNG"OA ZAO LA CHAI NI LA WAKULIMA WACHACHE WENYE
MASLAHI YAO KATIKA KULUDISHA NYUMA MAENDELEO NA JUHUDI ZA KILIMO CHA
CHAO AMBAPO WAKULIMA HAO WALIOJITENGA NA UMOJA WA WAKULIMA WADOGO WA
CHAI HAWAZIDI HATA 500, UKILINGANISHA WAKULIMA 15,000, WALIOUNDA UMOJA
WAO NA KUFAIDIKA NA MAMBO MENGI YAPATIKANAYO NDANI YA UMOJA WA RSTGA |
|
KITALI KIPYA CHA ZAO MBADALA LA MAPARACHOCHO KIKIWA TAYARI KWA KUPADIKIZA |
|
ILI
KUMUONGEZEA MKULIMA KIATO CHA UHAKIKA WATCO AMBAO NI WABIA WA WAKULIMA
WAMEANZISHA ZAO MBADALA LA KUONGEZA UCHUMI NA KIPATO KWA MKULIMA LA
KUZALISHA MAPARACHICHI AMABAYO YANA SOKO LA UHAKIKA NCHINI UINGERAZA |
|
HUKI NI KIWANDA CHA KUSINDIKA MAPARACHICHI CHA WAKULIMA WADOGO AMBAPO NI WABIA WA WATCO |
|
MOJA YA SEHEMU YA MASHINE YA KUSAGA CHAI KATIKA KIWANDA CHA CHAI CHA KATUMBA WILAYANI RUNGWE |
|
SEHEMU
YA CHAI ILIYOZALISHWA KIWANDA CHA KATUMBA TAYARI KWA KUSAFIRISHWA
KWENDA SOKONI AMBAPO SOKO KUU LA CHAI HII NI NCHI ZA ULAYA NA AFRIKA PIA
TANZANIA NA KWA KUJALI SOKO LA NDANI WATCO IMEANZISHA KIWANDA CHA
KUSINDIKA CHAI KAVU CHA KYIMBILA TEA PACKING KINACHOTENGENEZA CHAI TAUSI
|
|
MTENDAJI
MKUU WA RSTGA AKIELEZA JINSI CHAI WILAYANI RUNGWE KUWA NI ZAO KUBWA LA
KIUCHUMI KWA KUWA NDILO ZAO PEKEE AMBALO MKULIMA ANAKUWA NA UHAKIKA WA
KIPATO KWA KILA MWEZI HIVYO KUWA NA SHAMBA LA CHAI NI SAWA NA MTU
ALIYEAJILIWA AMBAPO UMOJA WA WAKULIMA WADOGO WA CHAI WILAYANI RUNGWE
RSTGA UNA WANACHAMA WAPATAO 15,000, AMBAPO WAKULIMA HAWA WANAHISA KATIKA
VIWANDA VIWILI KATUMBA NA MWAKALELI KWA 30% NA MKAKATI NI KUWA IFIKAPO
MIAKA MIWILI IJAYO WAKULIMA WATAKUWA NA HISA 49% |
|
KWA
KUTAMBUA FULSA ZA KUWEZESHA WAKULIMA KATIKA KAYA WAKULIMA WAMEPEWA
MILIDI MBALIMBALI UKIWEMO MLADI WA UFUGAJI NGULUWE AMBAPO RSTGA IMETOA
NGULUWE 350 KWA WAKULIMA NA MKULIMA AKIZALIWA WATOTO WATATU WA NGULUWE
NA KUGAWA KWA WAKULIMA WENZAKE NGULUWE NA WATOTO WANAOBAKI WANAKUWA NI
MALI YAKE MKULIMA NA KAWAIDA YA NGULUWE AKITUNZWA VYEMA ZAO LA KWANZA
HUZAA WATOTO WASIPUNGUZA 12 NA BEI YA KUUZA WATOTO WANAOFIKIA MIEZI
MITATU YA KUJITEGEMEA NI TSH 60,000/= HIVYO WAKULIMA WANANUFAIKA NA
MARADI HUU WA NGULUWE KWA KUONGEZA KIPATO CHA FAMILIA NA MATARAJIO YA
MWAKA UJAO NI MRADI WA KOPA NGOMBE LIPA NGOMBE. |
|
MWENYEKITI
WA WAKULIMA WADOGO WA CHAI WILAYANI RUNGWE JOHNSON MWAKASEGE AKITOA
TAMKO LA KUWA WAKULIMA WA CHAI RUNGWE HAWAWEZI KUNG'OA CHAI KWA SABABU
AMABAZO HAZIELEWEKI AMBAPO AMASEMA KUWA ZAO LA CHAI NI NGUZO YA UCHUMI
WILAYANI RUNGWE KWA SABABU NI ZAO PEKEE LINALO MFANYA MKULIMA KUPATA
PESA KILA MWEZI KWA UHAKIKA HIVYO AMEWATAKA WAKULIMA WACHACHE
WALIOJITENGA KWA MASLAHI YAO BINAFSI KUACHA KUTAMKA KUWA WAKULIMA WA
CHAI RUNGWE WANATAKA KUNGOA CHAI NA KUBADILISHA ZAO LINGINE HIVYO TAMKO
HILO SIO LA RSTGA AMBAPO RSTGA NI UMOJA IMARA ULIO NA WANACHAMA WAPATAO
15,000, NA UNA HISA 30% YA UZALISHAJI KATIKA KIWANDA CHA CHAI, WANACHAMA
WA RSTGA WANA BIMA ZA AFYA, RSTGA WANAMILIKI SACCOS YAO AMBAYO INA
MATAWI YAKE LWANGWA, MWAKALELI NA USHIRIKA PIA RSTGA NI MMILIKI MBIA WA
KIWANDA CHA MAPARACHICHI, PIA RSTGA SASA IMEJENGA JENGO LA OFISI NA
MAFUNZO AMBALO LIMEFUNGULIWA NA MAKAMU WA RAISI WA TANZANIA DR G BILALI
NA SASA RSTGA INA KITUO CHA RADIO AMBACHO KIMEKAMILIA HATUA ZA UJENZI NA
MITAMBO BADO TU KIBALI CHA TCRA ILI KIANZE KAZI, ZAIDI RSTGA IMECHANGIA
TSH 1.7 BILION TANGU MWAKA 2002 HADI SASA KATIKA UJENZI WA SHULE ,
ZAHANATI, NYUMBA ZA WALIMU, MAJI SAFI, NA BARABARA HIVYO ZAO LA CHAI
WILAYANI RUNGWE LINA FAIDA KUBWA KWA UCHUMI KWA FAMILIA NA WILAYA NZIMA
PAMOJA NA TAIFA KWA UJUMLA. |
|
|
LAHA YA KUFANYA
KAZI ZA KIJAMII HUKOSI ZAWADI HAPA NIKIWA KATIKA SHAMBA LA MKULIMA WA
CHAI BAADA YA KAZI NIKAPEWA NA ZAWADI YA NDIZI |
KAULIMBIU YA WAKULIMA WA CHAI WILAYANI RUNGWE
NI " CHAI YAKO TUNZA
IKUTUNZE"
No comments:
Post a Comment