Monday, November 11, 2013

KATIBU MKUU WA NISHATI NA MADINI ELIAKIM MASWI AFANYA ZIARA KWENYE MRADI WA BOMBA LA GESI MKOANI LINDI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Eliakim Maswi akisalimiana na wafanyakazi wa mradi wa bomba la gesi huko Kilwa.Katibu Mkuu wa Nishati na Madini Eliakim Maswi alifanya ziara kwenye mradi wa bomba la gesi katika mikoa ya Lindi na Mtwara  Picha Na. 2 
Kazi ya uunganishaji wa bomba la gesi  ikiendelea Picha Na. 5 
Katibu Mkuu wa Wizara ya  Nishati akisikiliza maelezo kwa mtaalam juu ya hatua iliyofikiwa ya ujenzi wa bomba la gesi ikiwa ni pamoja na ukamilishwaji wake
Post a Comment