Tuesday, November 19, 2013

TMF YAENDELEA KUWANOA WANAHABARI JUU YA UBORESHAJI WA UANDISHI WA MITANDAONI

 Mwezeshaji  Beda Msimbe  akiendelea  kuwanoa  wanahabari  wamiliki wa mitandao ya  kijamii nchini ambao  wanapatiwa mafunzo 
Wanahabari  wa vyombo mbali mbali na  wamiliki wa mitandao  ya  kijamii (Blog) wakiendelea na mafunzo  yao ya siku nne  katika  ukumbi wa Dodoma  Hotel  leo,mafunzo  yaliyolenga  kuboresha uandishi wa mitandao ya kijamii

Wanahabari  wakionyesha kufurahia mafunzo ya uandishi wa mitandaoni leo mjini Dodoma
Mmoja  kati ya  wawezeshaji  wa mafunzo hayo Bw Beda akiwapa mafunzo  mzee  wa matukio daima kushoto na wamiliki wa blog wengine  wakiwa katika  darasa la mabloga leo
Post a Comment