Thursday, January 30, 2014

JE TUTAFIKA?


kp30012014 d651a

  NAJIULIZA SANA NIONAPO UANDISHI HUU.....

(Juma Ngasongwa anusurika ajalini) 

JE SWALI KWENYE HII GALI KULIKUWA HAKUNA WATU WENGINE JE HAO HAWAKUNUSURIKA KUFA? AU SIO BINADAMU AU NGASONGWA NDIYE BINADAMU PEKEE YAKE TU?
AJALI 1efe5
Waziri wa zamani wa Viwanda na Biashara, Dk Juma Ngasongwa (72) amenusurika kufa baada ya kupata ajali ya gari katika eneo la Picha ya Ndege, wilayani Kibaha, Pwani.
Ajali hiyo ilitokea saa 11 jioni ya juzi katika eneo hilo wakati Dk Ngasongwa akitokea Dodoma kwenda jijini Dar es Salaam.
Post a Comment