Thursday, January 2, 2014

MAAJABU YA KWELI;.. BARABARA MBEYA MJINI KUPITIA MABATINI KWENDA MBALIZI HATA MWEZI HAUJAISHA YAANZA KUWEKWA VIRAKA VYA SARUJI.

Barabara kuu ya itokayo katikati ya jiji la Mbeya kwenda Mbalizi kupitia Mabatini Meta imeanza kuharibika mapema toka lami iwekwe takribani mwezi mmoja uliyopita hii ndiyo halisi ya barabara hiyo

kweli hii barabara itamaliza mwei huu?


Wahusika mpooo

Tayari baadhi ya maeneo ya barabara hiyo mashimo yameanza kuzibwa na tope la sarujiPicha yenyewe inajieleza je hii ni halali?

PESA ZA WANANCHI NA MATUMIZI YAKE NDIO HAYA
 
Post a Comment