Monday, February 3, 2014

(IBADA YA KWELI NI KUWATEMBELEA WAHITAJI) KWAYA YA CALVARY KKKT TUKUYU MJINI WATEMBELEA SHULE YA WALEMAVU KATUMBA

KWAYA YA CALVARY YA KANISA KUU LA KKKT USHARIKA WA TUKUYU MJINI LEO WAMEFANYA HUDUMA YA KUWATEMBELEA WATOTO WA SHULE YA WALEMAVU YA KATUMBA KWA KUSHIRIKI NA WATOTO KATIKA KUPATA NENO LA MUNGU NA KUIMBA KWA PAMOJANA WATOTO NYIMBO ZA KUMSIFU MUNGU NA MWISHO KUWAKABIDHI WATOTO VYAKULA NA VIFAA VYA KUTUMIA DARASANI

WATOTO WA KATUMBA TUKUYU WAKIIMBA WIMBO MAALUM WA KUWAKARIBISHA WAGENI SHULENI HAPO ULIO NA MAUDHUI YA KUWASHUKURU WAZAZI KWA KUONA UMUHIMU WA KUACHA KAZI ZAO NA KUJA KUWATEMBELEA WAO KWANI WAO NI AKINA NANI LAKIN MBELE ZA MUNGU NI WATOTO WA THAMANI SANA HIVYO WANAHITAJI UPENDO TOKA KWA WAZAZI

MCHUNGAJI NANCE MTERA WA KANISA LA KKT USHARIKA WA TUKUYU ALIYEONGOZANA NA WANAKWAYA YA CALVART AKIHUBIRI NENO LA MUNGU KWA UFUPI KWA WATOTO NA WALEZI WAO WALIOHUDHURIA HAFLA YA KUTEMBELEWA NA WANAKWAYA WA CALVARY TUKUYU MJINI

BAADHI YA WANAKWAYA NA VIONGOZI WAO WAKIWA KATIKA IBADA FUPI YA KUWATEMBELEA WATOTO WALEMAVU KATIKA SHULE YA WALEMAVU KATUMBA

BAADHI YA WALIMU WA SHULE YA WALEMAVU YA KATUMBA

MRS KINGO AKIWA SAMBAMBA NA WATOTO
 
MWALIMU MKUU WA SHULE YA MSINGI KATUMBA OMWILE KALYOTO AKISIKILIZA KWA MAKINI MAHUBIRI TOKA KWA MCHUNGAJI WA KKKT TUKUYU MJINI ALIYE ONGOZANA NA WANAKWAYA WA CALVARY
 
BAADHI YA VITU NA CHAKULA VILIVYOKABIDHIWA KWA WATOTO WA SHULE YA KATUMBA KUTOKA KWA KWAYA YA CALVARY KKKT USHARIKA WA TUKUYU MJINI

KIONGOZI WA SERIKALI YA WANAFUNZI BONNY LINGTON AKISHUKURU KWA MSAADA WA VYAKULA NA VIFAA VYA DARASANI WALIOPATA SHULENI HAPO NA ZAIDI AKISHUKURU KWA FARAJA YA KUSIKIA NENO LA MUNGU NA NYIMBO NZURI KUTOKA KATIKA KWAYA YA CALVARY WALIOWATEMBELEA SHULENI HAPO

MWALIMU SADICK WA SHULE YA KATUMBA AKIWASHUKURU WANAKWAYA YA CALVARY  TUKUYU MJINI KWA MOYO WA HURUMA NA UPENDA  WALIOUONYESHA KWA WATOTO HAWA WALEMAVU  KWA KUWA CHANGAMOTO KUBWA KWA WATOTO WALEMAVU NI WAZAZI NA WALEZI KUTOWATEMBELEA WATOTO WAO HIVYO WANAWATELEKEZA WATOTO SHULENI HAPO HATA KUWATEMBELEA NI SHIDA HIVYO WATOTO WANAKOSA FARAJA TOKA KWA WAZAZI  HATA WALEZI WANAOIZUNGUKA SHULE HIYO HIYO AMEWATAKA WAZAZI KUWA NA MOYO WA KUWATEMBELEA WATOTO NA SIO MPAKA UWALETEE KITU WATOTO WANAHITAJI UPENDO

"YESU ANAPENDA NA WATOTO....."    MMOJA WA WATOTO  AKIONGOZA PAMBIO LA KUMSIFU MUNGU
MCHUNGAJI WA KKKT NANCE MTERA AKIWA NA WATOTO

BAADHI YA VITU VILIVYOKABIDHIWA NA WANAKWAYA WA CALVARY WA KANISA KUU LA KKKT TUKUYU KWA WATOTO WA SHULE YA WALEMAVU TUKUYU

 UKAFIKA WAKATI WA POZI LA PICHA

MWAKA 2013 KWAYA YA CALVARY WAMEANDAA ALBAM YA VIDEO YA NYIMBO ZA INJILI ILIYONA JINA LA ( TUMEBEBA JINA KUBWA) NA IMEZINDULIWA MWEZI WA KUMBI NA MBILI 2013 KATIKA USHARIKA WA TUKUYU MJINI

HATUA ZA KUANDAA MKANDA WA VIDEO AMMBAPO BAADA YA KUMALIZA NA KUZINDUA ALBAM HIYO YA TUMEBEBA JINA KUBWA LEO KWAYA HII WANAMSHUKURU MUNGU KWA KUWALINDA KANDIKA SAFARI NDEFU ZA KUZUNGUKA KUANDAA PICHA AMBAPO SAFARI ZIMEFANYIKA KATIKA MINOA YA ARUSHA, KILIMANJALO, DSM, MOROGORO,IRINGA,NA MBEYA


TUNASHUKURU KWA WALEWOTE WALIO FANIKISHA ALBAM HII YA VIDEO YA (NIMEBEBA JINA KUBWA) KWA KUCHANGIA MAWAZO HATA PESA ILI KUFANIKISHA HUDUMA HII YA NENO LA MUNGU KUSONGA MBELE ILI WATU WAKE WAISHI KWA AMANI NA SIKU MOJA KUINGIA KATIKA UFALME WA MUNGU

KINGOTANZANIA - 0752881456
Post a Comment