Sunday, February 16, 2014

KWA WAZENDO KUJIUNGA


NI  MPANGO WA VIJANA WAZALENDO WALIOKO VYUO VYA ELIMU YA JUU MBALIMBALI AMBAO LEO WAMEONA KUNA KILA SABABU YA KUSHIRIKI SHUGHURI ZA KIJAMII WALUDIPO RIKIZO NYUMBANI. HIVYO WANAWATAKA WALE WOTE WENYE MAPENZI MEMA NA JAMII KUSHIRIKI KATIKA KATIKA MIDAALO ILIYOANDALIWA NA SHUGHURI ZA KIJAMII KATIKA MAENEO YAO, TUJIANDAE KUKAA PAMOJA KUJADILIANA NA KUPEANA MAWAZO YA JINSI YA CHANGAMOTO MBALIMBALI ZINAZO IKABILI JAMII HASA VIJANA KUJIINGIZA KATIKA MATUKIO YA KIHARIFU NA KUPOTEZA UZALENDO KWA TANZANIA YAO.  RATIBA KAMILI  ITAWAJIA
JIUNGE LEO NA VIJANA WENZAKO ILI UWE  CHACHU YA MABADIRIKO KATIKA JAMII YAKO
KINGOTANZANIA. 0752881456
Post a Comment