Tuesday, February 11, 2014

MSIBA WA MJOMBA WANGU AMBAKISYE RAMADHANI, AMEFARIKI AKIWA AKIWA KATIKA MAFUZO YA JKT RUVU LEO

Photo
FAMILIA YA MZEE BARTON MWASAJONE WA NANENANE MBEYA INA HUZUNI YA KUTANGAZA KIFO CHA  MJUKUU WAKE AMBAKISYE RAMADHANI ALIYEFARIKI LEO AKIWA KATIKA MAFUNZO YA JESHI KAMBI YA RUVU JKT.  KESHO TAREHE 12.02.2014 ATAAGWA KAMBINI RUVU JKT NA KUANZA SAFARI YA KUELEKEA MBEYA KWA AJILI YA MAZIKO YATAKAYOFANYIKA NANENANE MBEYA TAREHE 13.02.2014.

ENZI ZA UHAI WAKE MAREHEMU AMBAKISYE BARTON MWASAJONE, BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA NA LIHIMIDIWE.


Post a Comment