Thursday, February 6, 2014

Nyumba yaungua na kumteketeza mtoto wa miezi mitatu Block T MbeyaSehemu ya nyumba ya Ndugu Aden Mwambugu ambamo Ndugu Honest Shoo alikuwa amepanga ikiwa imeteketea kabisa.

Mjomba wa Marehemu akiwa amebeba mwili wa mtoto Clara Honest ambae ana umri wa miezi mitatu  mwili wa mtoto huyo umeteketea kwa moto


Chumba ulimokutwa Mwili wa marehemu Clara Honest

Polisi wakiondoka na mwili wa mtoto huyo


Mwenyekiti wa mtaa wa Block T Ndugu Majembe akimwongoza Honest Shoo ambaye ni mfanyakazi wa Bank ya Posta kitengo cha masoko (mwenye shati nyeupe) kwenda kutoa maelezo kwa polisi waliofika katika tukio.

Mama mzazi wa mtoto Crala akilia kwa uchungu kulia ni binti wa kazi

Chanzo cha moto huo hakijajulikana

Picha kwa hisani ya
Luhanga
Post a Comment