Saturday, February 1, 2014

RUNGWE NA MOJA YA VIVUTIO VYAKE

MKUU WA WILAYA YA RUNGWE CHRISPIN MEELA AKIWA KATIKA ZIARA YA KUANGALIA MOJA YA VIVUTIO KATIKA WILAYA YA RUNGWE

Add caption

HAPA NIKISHANGAA UUMBAJI WA MUNGU NA JINSI MUNGU ALIVYOPENDELEA SANA WILAYA YA RUNGWE KUWA WILAYA WILAYA YENYE UOTO WA ASILI MVUA NYINGI NA USTAWI MKUBWA WA MAZAO YA KILA AINA


MTO KIWIRA ULIOPO WILAYANI RUNGWE UNAO MWAGA MAJI YAKE KATIKA ZIWA NYASA

Post a Comment