Tuesday, February 25, 2014

TUKUYU STARS YAICHABANGA 4 KWA 0 MAZOMBI YA KYELA LIGI DARAJA LA TATU MKOA WA MBEYA

TIMU YA TUKUYU STARS

KIKOSI CHA TIMU YA MAZOMBI YA WILAYANI KYELA

BENCHI LA UFUNDI LA TIMU YA TUKUYU STARS WAKIWA MAKINI KUANGALIA MCHUANO WA MPIRA MZUNGUKO WA PILI KATI YA TUKUYU STARS NA MAZOMBI YA KYELA IKIWA MICHUANO YA LIGI DARAJA LA TATI NGAZI YA MKOA

BENCHI LA UFUNDI LA TIMU YA MAZOMBI YA KYELA

VIONGOZI WA SERIKALI NA VYAMA WAKIWA WAKISHUHUDIA MCHUANO MKALI WA TUKUYU STARS NA MAZOMBI YA KWELA AMBAPO TUKUYU STARS WAMEIBUKA WASHINDI  KWA MAZOMBI KWA JUMLA YA MAGOLI MANNE KWA BILA MCHEZO UMEFANYIKA KATIKA KIWANJA CHA HALMASHAURI YA KYELA AMBAPO KATIKA MCHEZO WA MZUNGUKO WA KWANZA TIMU HIZI ZILITOKA SALE

TIMU ZOTE MBILI ZIKISALIMIA

BAADHI YA MASHABIKI WA TUKUYU STARS WALIOSAFIRI NA TIMU KUTOKA WILAYA YA RUNGWE HADI WILAYA YA KYELA KUISHANGILIA TIMU YAO AMBAYO MPAKA MWISHO WA MCHUANO TUKUYU STARS 4 & MAZOMBI 0

MASHABIKI WA MAZOMBI YA KYELA AMBAO BAADA YA KUJIONEA KICHAPO CHA TIMU YAO IJULIKANAYO MAZOMBI WAKAGEUKA KUWA MASHABIKI WA TUKUYU STARS

MASHABIKI WA TIMU YA MAZOMBI YA KYELA WAKAWA WAPOLE BAADA YA KUJIONEA TIMU YAO IKIPATA KICHAPO CHA KUTOSHA KUTOKA KWA TUKUYU STARS YA WILAYANI RUNGWE

KATIKATI MR MWASANGWALE AMBAYE NI MWENYEKITI WA CHAMA CHA MPILA WILAYANI RUNGWE KULIA NI AFISA MICHEZO WILAYA YA KYELA NA KUSHOTO NI OCID WA KYELA


BENCHI LA UFUNDI LA TUKUYU STARS

VIJANA WA TUKUYU STARS WAKITOKA UWANJANI BAADA YA KUIBUKA WASHINDI WA MCHUANO WA TUKUYU STARS NA MAZOMBI YA KWELA BAADA YA KUWACHAPA MAGOLI MANNE KWA BILA HURUMA WENYEJI MAZOMBI. HII NI MECHI YA MZUNGUKO WA PILI AMBAPO MECHI YA KWANZA MJINI TUKUYU WILAYANI TUNGWE TIMU HIZI ZILITOSHANA NGUVU KWA KUTOKA NA GOLI MOJA KWA MOJAAMBAPO LEO WAKIWA UGENINI WILAYANI KYELA TUKUYU STARS WAMEIBUKA NA USHINDI MZITO HUKU WAKISUBIRI MECHI IJAYO ITAKAYOFANYIKA WILAYANI RUNGWE KATI YA TUKUYU STARS NA MUUNGANO YA HALAMSHAURI YA BUSOKELO

HII NDIO KADI YA UANACHAMA YA KWANZA YA TUKUYU STARS AMBAPO TANGU TIMU ILIPOPATA MATATIZO JUHUDI NYINGI ZIMEFANYIKA KUINUSURU TIMU YA TUKUYU STARS BILA MAFANIKIO . LAKINI AWAMU HII NI YA KIZALENDO ZAIDI KWA MTU YEYOTE MWENYE MAPENZI MEMA NA TUKUYU STARS UNAKARIBISHWA KUWA MWANACHAMA UKIWA NI MPANGO WA KWANZA KUPATA WANACHAMA WATAKAO IENDESHA TIMU YA TUKUYU STARS NDIPO UFANYIKE UCHAGUZI WA KUDUMU WA KUPATA VIONGOZI WA KUENDESHA TIMU ILA KWAYEYOTE MZALENDO TU NA SI MALUKI WA KUBOMOA TIMU NA KUKATISHANA TAMAA KITU KINACHOFANYA MSIMU ULIOPITA TUKUYU STARS  KUPETEZA NAFASI YA KUPANDA DARAJA  KWA UZEMBE WA WATU WACHACHE WASIOITAKIA MEMA TUKUYU STARS.
( UJUE MKAKATI MPYA WA TUKUYU STARS- PIGA SIMU 0752881456 AU BIP UTAPIGIWA)
Post a Comment