Tuesday, February 11, 2014

Uganda: Rais Museveni kuwania tena urais mwaka 2016


rais_0f7db.jpg
Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda

Rais Museveni amekuwa mamlakani kwa kipindi cha miaka 28.
Wabunge wa chama tawala nchini Uganda kwa kauli moja wanamtaka kiongozi wa chama chao ambaye pia ni rais wa nchi hiyo Rais Yoweri Kaguta Museveni kuwania urais tena kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika mwaka wa 2016.
CHANZO:DWSWAHILI

Post a Comment