Thursday, March 20, 2014

TAZAMA MASHETANI WEKUNDU WALIVYOWABETUA WAGIRIKI, KAMA ENZI ZA KIBABU FERGUSON OLD TRAFFORD!!

Furaha kubwa: Wachezaji wa Man United wakishangilia bao la pili la Van Persie, lakini lilikuja la tatu pia
There's hope yet: Van Persie puts United ahead on the night from the spot in the first-half
Matumaini bado yapo: Van Persie akifunga bao la kwanza la kuongoza usiku wa jana Old Trafford
Beyond grasp: Goalkeeper Roberto went the right way but Van Persie's effort was too strong 
Alijaribu kuokoa: Mlinda Mlango Roberto alikwenda njia sahihi, lakini shuti laVan Persie lilikuwa na nguvu zaidi 
Under pressure: Van Persie was attempting to get on the end of Wayne Rooney's superb pass
Presha kubwa: Van Persie akijaribu kutumia vyema pasi aliyopewa na  Wayne Rooney
Penalty! And the Dutchman was hauled down by Jose Holebas, before the referee pointed to the spot
Penati! :  mholanzi huyo aliangushwa na Jose Holebas, baada ya hapo mwamuzi akawapa Man United penati
Post a Comment