mlima Rungwe kwa mbali uonekanavyo.
mlima unavyoonekana ukiwa katika mji wa Tukuyu.
ukiwa vijiji jirani karibu na mlima.
Muonekano wa mlima
rungwe ambao kwa urefu ni watatu Tanzania ukianza na mlima kilmanjaro wenye mita 5,895 ukifuata mlima meru 4,566 na
unafuata mlima rungwe 2,960 ambao una, mabwawa yasiyopungua maji wala
kuongezeka, maporomoko ya maji, wanyama mbalimbali wakiwepo na vyula
wanaopatikana rungwe tu na nyani aina ya kipunji anayepatikana katika mlima rungwe tu duniani
kote.
Mlima Rungwe ni volkeno iliyozimika ya Tanzania kusini magharibi ikikadiliwa ya kwamba mlipuko wake wa mwisho ulitokea mnamo miaka 2,000 hadi 5,000 iliyopita. mlima huu una kimo cha mita 2,960 ni mlima mkubwa mkoani mbeya.
Mlima unasimama juu ya ncha kaskazini ya ziwa nyasa, upande wa kusini mashariki wa mlioma hupokea usimbishaji wa milimita 3,000 kwa mwaka ambao ni juu kabisa katika Tanzania.
Mazingira ya mlima ni nchi yenye rutuba na kilimo, pia Rungwe ni eneo la wanyakyusa jina la mlima limekuwa pia jina la Wilaya ya Rungwe
Karibu Tanzania, Karibu Mbeya.

No comments:
Post a Comment