Friday, August 15, 2014

LOUIS VAN GAAL AMSIFU WAYNE ROONEY NA KUELEZA KWANINI AMEMPA BEJI LA UNAHODHA


1408112382707_wps_1_MANCHESTER_ENGLAND_AUGUST 
 Louis van Gaal alisema mtazamo wa Wayne Rooney ndio sababu ya kumteua kuwa nahodha.

LOUIS van Gaal amesifu mtazamo wa Wayne Rooney na kuamua kumteua kuwa nahodha wa Manchester United, lakini amemuonya kujiheshimu nje na ndani ya uwanja.
Mholanzi aliweka wazi kuwa alizungumza na Roonye kuhusu kumvalisha kitambaa cha umeneja baada ya mechi ya jumanne usiku dhidi ya Valencia kufuatia mshambuliaji huyo kujituma zaidi kuwa kiongozi.
Kusoma zaidi bofya www.bkmtata.blogspot.com
Post a Comment