Thursday, August 14, 2014

SIKU YA KWANZA KUFANYA KAZI BAADA YA MUNGU KUNIFANYIA MIUJIZA YA UPONYAJI WA AFYA YANGU NIMETEMBELEA KIJIJI CHA IKAMA WILAYANI RUNGWE NA KUONANA NA BAADHI YA VIONGOZI NA WANANCHI NA KUJIONEA WANANCHI WALIVYO KATIKA WIMBI ZITO LA UMASKINI HUKU WAKIWA NA UTAJIRI MKUBWA WA UZARISHAJI WA GESI ASILIA. (FUATANA NAMI KATIKA ZIARA YANGU ILI KUJIONEA YALIYOMO KATIKA KIJIJI HIKI CHA IKAMA WILAYANI RUNGWE)

MMOJA WA VIONGOZI WA SERIKALI YA KITONGOJI AKIONGEA NAMI MAMBO MBALIMBALI YAHUSUYO WATU  NA CHANGAMOTO ZAO ZA KIJIJI HIKI CHA IKAMA

NEMBO YA KIWANDA CHA KUZALISHA GES ASILIA ILIYOPO KATIKA MLANGO WA KUINGILIA KIWANDANI HAPO.

VIJANA WA KIJIJI CHA IKAMA WILAYANI RUNGWE  WAKITOKA KULIMA MASHAMBANI

MMOJA WA KIJANA HODARI KWA MAENDELEO KIJIJINI IKAMA NA MWENYEKITI WA KITONGOJA AKIELEZA CHANGAMOTO ZA UWEPO WA GESI ASILIA HUKU WAWEKEZAJI WAKIENDELEA KUVUNA UTAJIRI WA WATANZANIA WAO WAKIENDELEA KUBAKI MASIKINI. (FUATANA NAMI TUJIONEE)

WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI ISEBE WAKIRUDI SHULE BAADA YA KUTOKA KUPATA CHAKULA CHA MCHANA

HAPA WAKIPATA MAJIMBI IKIWA NDIO MLO WA MCHANA HUKU WATOTO HAWA WAKISEMA BAADA YA HAPO WANAPITIA MBOMBANI KUPATA MAJI YA KUNYWA NA SIKU INAKUWA IMEPITA KWA KUPATA MLO HUO WA MCHANA

MAKAZI YA MWENYEKITI WA KIJIJI KIJIJI CHA IKAMA NIKAFIKA NIKAKUTA BADO YUPO SHAMBANI LAKIN BADO NITAFIKA TENA ILI ATUJUZE MENGI YAHUSUYO KIJIJI CHAKE CHA IKAMA

WANYAKYUSA WAKALIMU SANA KIJANA AKIWA SHAMBANI KWAKE AKANIKARIBISHA MIWA NA NIKAFUNGIWA MINGINE NA KUONDOKA NAYO

DARAJA

MLO WA MCHANA NA SAFARI KUENDELEA YA KUZUNGUKA KUONGEA NA WANA KIJIJI CHA IKAMA WILAYANI RUNGWE MKOA WA MBEYA. TUTAJIONEA WANANCHI HAWA WANAVYO SHIRIKI SHUGHURI ZA KIJAMII KAMA KILIMO, AFYA, ELIMU NA PAMOJA NA CHNAMOTO ZINAZO WAKABIRI ZA UWEPO WA GESI ASILIA AMBAYO TAYARI IMEANZA KUVUNWA BILA YA USHIRIKISHWAJI WA WANANCHI NA MIKATABA. HAYA YOTE TUTAYASIKIA KUTOKA KWA WANANCHI HAWA WA IKAMA NA VITONGOJI VYAKE.

No comments: