Thursday, August 14, 2014

WATU KADHAA WAMENUSURIKA KIFO BAADA YA AJARI MBAYA YA GALI AINA YA COSTA YA MAKETE IKITOKEA MBEYA KUELEKEA KYELA AJALI IMETOKEA USIKU WA KUAMKIA LEO KATIKA ENEO LA MASHAMBA YA CHAI YA KYIMBILA TUKUYU WILAYANI RUNGWE MKOA WA MBEYA

MIUJIZA YA MUNGU KWA MUONEKANO WA GALI LIKIWA KORONGONI BAADA YA KUPATA AJALI NA KUVINGIRIKA MALA NANE NA WATU WOTE KUPONA KIFO KATIKA AJALI HIYO

WATU  WOTE WALIOKUWEMO KATIKA AJALI HIYO WALIKIMBIZWA KATIKA HOSPITALI YA MAKANDANA TUKUYU KWA AJILI YA MATIBABU
BAADA YA KUVINGILIKA MALA NANE GALI LIKANASA HAPA

MLIMA MKALI KUIFIKIA BARABARA

ENEO HILI NDIPO AJALI ILIPOTOKEA KATI YA FUSO NA COSTA KUACHA NJIA NA KUELEKEA KORONGONI NA KUVINGILIKA MALA NANE NA MWISHO KUNASA KATIKA MITI ILIYOPO BONDENI. KWA MACHO YA KIBINADAMU NI MIUJIZA YA MUNGU KUWAPONYA WATU WOTE WALIOKUWEMO KATIKA AJALI HII.

Post a Comment