Thursday, September 18, 2014

ABDULRAHMAN KINANA AENDELEA NA ZIARA MKOA WA PWANI LEO NDANI YA KISALAWE


Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi mara baada ya kukagua jengo la wazazi katika hospitali ya wilaya ya Kisarawe leo wakati alipofanya ziara katika jimbo hilo ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake katika mkoa wa Pwani akikagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 na kuhimiza wananchi kushiriki katika shughuli za maendeleo pamoja na kuimarisha uhai wa chama, Katibu Mkuu huyo katika ziara hiyo anaongozana na Nape Nnauye Katibu wa NEC, Siasa, Itikadi na Uenezi.
 3 
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozana na Nape Nnauye kulia, na kada wa CCM Bw. Iddi Janguo mara baada ya kukagua ujenzi wa jengo la wazazi katika hospitali hiyo. 4 
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa moja ya majengo yanayokarabatiwa katika hospitali ya wilaya ya Kisarawe. 6 
Moja ya majengo yanayojengwa katika hospitali hiyo.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana aki 8 
Jengo jipya linalojengwa katika  kata ya Palaka9 
Katibu Mkuu wa CCM akishuhudia jinsi vijana wanavyofyatua matofali ya bei nafuu mradi ambao umebuniwa na Shirika la Numba kwa ajili ya kupunguza ukosefu wa ajira kwa vijana. 14 
 Mbunge wa zamani wa Jimbo la Kisarawe Mzee Athman Janguo akisalimia wananchi huku Katibu wa CCM Mkoa wa Pwani Bi Joyce Masunga akiwa pembeni. 19 
Umati uliohudhuria katika mkutano huo 22 
Seleman Said Jafo mbunge wa jimbo la Chalinze akizungumza na wananchi wake  Manerum 25 
Wana CCM wakila kiapo mara baada ya kupokea kadi zao za uanachama wa CCM,
Post a Comment