Wajumbe
wa Bunge Maalum la katiba wakishangilia leo mjini Dodoma mara baada ya
matokeo ya upigaji kura kuonyesha kuwa Theluthi mbili ya Zanzibar
imepatikana.
Spika
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni mjumbe wa
Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Anne Makinda akitoa neno la shukurani kwa
wajumbe wa Bunge la Katiba na uongozi wao pamoja na uongozi wa nchi
kabla ya bunge hilo kuvunjwa rasmi leo mjini Dodoma.
Mjumbe
wa Bunge Maalum la Katiba, mhe. John Shibuda akitoa neno la shukurani
kwa wajumbe wa Bunge la Katiba na uongozi wao pamoja na uongozi wa nchi
kabla ya bunge hilo kuvunjwa rasmi leo mjini Dodoma.
Mjumbe
wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. John Cheyo akitoa neno la shukurani kwa
wajumbe wa Bunge la Katiba na uongozi wao pamoja na uongozi wa nchi
kabla ya bunge hilo kuvunjwa rasmi leo mjini Dodoma.
Spika
wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar ambaye pia ni mjumbe wa Bunge
Maalum la Katiba, Mhe. Pandu Ameir Kificho akitoa neno la shukurani kwa
wajumbe wa Bunge la Katiba na uongozi wao pamoja na uongozi wa nchi
kabla ya bunge hilo kuvunjwa rasmi leo mjini Dodoma.
Mjumbe
wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Selemani Nchambi akitoa neno la
shukurani kwa wajumbe wa Bunge la Katiba na uongozi wao pamoja na
uongozi wa nchi kabla ya bunge hilo kuvunjwa rasmi leo mjini Dodoma.
Mjumbe
wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Mzee Kingunge Ngombale Mwiru akitoa
neno la shukurani kwa wajumbe wa Bunge la Katiba na uongozi wao pamoja
na uongozi wa nchi kabla ya bunge hilo kuvunjwa rasmi leo mjini Dodoma.
Makamu
wa Pili wa Zanzibar ambaye pia alikuwa ni mjumbe wa Buge Maalum la
Katiba, Mhe. Balozi Seif Ali Idd akitoa neno la shukurani kwa wajumbe wa
Bunge la Katiba na uongozi wao pamoja na uongozi wa nchi kabla ya bunge
hilo kuvunjwa rasmi leo mjini Dodoma.
Aliyekuwa
Makamu wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza
bunge hilo mjini Dodoma wakati wa ufungaji wa bunge hilo leo 2 Septemba,
2014.
Waziri
Mkuu wa Tanzania ambaye pia alikuwa mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba,
Mhe. Mizengo Pinda akitoa akitoa neno la shukurani kwa wajumbe wa Bunge
la Katiba na uongozi wao pamoja na uongozi wa nchi kabla ya bunge hilo
kuvunjwa rasmi leo mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akiwashukuru
wajumbe na Watanzania kabla ya kuvunja bunge hilo rsmi leo 2 Septemba,
2014 mjini Dodoma.
Wajumbe
wa Bunge Maalum la Katiba wakitoa maneno ya shukurani kwa wajumbe na
Watanzania kabla ya kuvunja bunge hilo rsmi leo 2 Septemba, 2014 mjini
Dodoma.
No comments:
Post a Comment