Monday, November 10, 2014

WATU WAPATAO 10,000 KATIKA VIJIJI 118 WILAYANI RUNGWE WATANUFAIKA NA MRADI WA TASAF NO 3 UNAOLENGA KUZIKOMBOA KAYA MASKINI WILAYANI RUNGWE

MADIWANI WA BUSOKELO NA RUNGWE PAMOJA NA WATENDAJI WA MRADI  WAKIWA KATIKA SEMINA ELEKEZI YA KUWAJENGEA UWEZO WAWEZESHAJI  60 WA WILAYA YA RUNGWE NA BUSOKELO ILI KUTEKELEZA MARADI WA TASAF NO 3 UNAOLENGA KUZIKOMBOA NA UMASKINI KAYA MASKINI KATIKA JAMII

WAWEZESHAJI WA SEMINA  KITAIFA WAKIJIANDAA KUANZA KUTOA MAADA KATIKA SEMINA ELEKEZI YA KUWAJENGEA UWEZO WAWEZESHAJI WA WILAYA YA RUNGWE NA BUSOKELO ILI KUTEKELEZA MARADI WA TASAF NO 3 UNAOLEA KUZIKOMBOA NA UMASKINI KAYA MASKINI KATIKA JAMII



WANASEMINA WAKIMWA MAKINI KATIKA KUSIKILIZA MAADA MALIMBALI

AIKA TEMU MTOA MAADA KUTOKA TASAF MKOA WA MBEYA AKIELEZEA MALENGO NA UMUHIMU WA MRADI WA TASAF NO 3 AMBAO UTAWAFIKIA WATU WAPATAO ELFU KWA WILAYA YA RUNGWE

MUWEZESHAJI TOKA TAIFA

MUWEZESHAJI TOKA TAIFA AKITOA MAADA JINSI YA KUWATAMBUA WALENGWA WA MRADI AMBAO NI MASIKINI

MWAKILISHI WA MKURUGENZI MKUU WA TASAF AKISOMA RISALA MBELE YA MGENI RASM NA WAHESHIMIWA MADIWANI PAMOJA NA WAWEZESHAJI

MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA RUNGWE MHE, MWAKASANGULA AKIMKARIBISHA MGENI RASM KWA AJILI YA KUFUNGUA SEMINA ITAKAYO DUMU KWA SIKU TANO ILI KUWAJENGEA UWEZO WAWEZESHAJI WA WILAYA YA RUNGWE

MKUU WA WILAYA YA RUNGWE CHRISPIN MEELA AKIONGEA NA WAWEZESHAJI, WATENDAJI NA MADIWANI, AMEWATAKA WALENGWA WA MRADI KUWAFIKIA WATU WALIOKUSUDIWA NA SI KUCHAGUA KWA UPENDELEO WATU WASIO NA SIFA YA MRADI. HIVYO AMESEMA KUWA ILI UCHUMI WA KILA MTANZANIA KUONEKANA SERIKALI IMEAMUA KUWA NA MPANGO WA KUSAIDIA KAYA MASKINI ILI KUPINGUZA UMASKINI

PICHA YA PAMOJA


MWAKILISHI WA MKURUGENZI MKUU WA TAIFA  GODWIN MKISI  AMESEMA KUWA TAFASIRI YA MRADI HUU WA TASAF NO 3 NI KUONA KAYA MASIKINI AMBAZO ZITAWEZESWA KWA KUPEWA RUZUKU AMBAZO NI KIASI KITAKACHOWASAIDIA WALENGWA KUBADIRI MAISHA YA KAWAIDA NA MRADI UTASAIDIA KUJENGA MIUNDOMBINU YA ELIMU , AFYA NA MAJI ILI WATANZANIA KUFIKIA KATIKA MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA
KINGOTANZANIA

No comments: