Wednesday, December 24, 2014

HEKA HEKA ZA SIKUKU ZA CHRISMAS MJINI TUKUYU

WATU WAKIUZA NA KUNUNUA VITU MBALIMBALI KWA AJILI YA SIKUKU YA CHRISMAS. LEO WATU NIMESHUHUDIA NI WENGI MITAA YA MJINI TUKUYU KULIKO KAWAIDASAFARI NJEMA NA MFIKE SALAMA, SAFARI YA KUELEKEA BUSOKELO MJINI LWANGWA IKIENDELEA NDANI YA BASI LA SIKUTEGEMEA
NIKAPATA UGENI WADOGO ZANGU KUTOKA DSM OWEN MWANDUMBYA NA MDOGO WAKE WAKAPITA OFISIN KUNISALIM ILI KUPATA BARAKA ZA KUENDELEA NA SAFARI YA KUELEKEA ITETE BUSOKELO KWA AJILI YA KUSHEREKE CHRISMAS NA KUSALIMU NDUGU NA JAMAA. HONGERA SANA VIJANA

KINGOTANZANIA AKIWA KATIKA PICHA NA MTANZANIA

KINGO TANZANIA INAWATAKIA SIKUKUU NJEMA NA MUNGU AWABARIKI MSHEREKEE VIZURI CHA MSINGI NI KUJUA KILA KITU UNATAKIWA KUFANYA KWA KIASI. MUNGU AWABARIKI

Post a Comment