Wednesday, December 10, 2014

Viongozi wa Dini Mbalimbali wamuombea dua Rais Kikwete Ikulu


Viongozi wa Dini wakimuombea dua Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati walipomtembelea kumjulia hali na kumuombea ikulu jijini Dar es Salaam. unnamed1 
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na baadhi ya viongozi wa dini mbalimbali waliomtembelea na kumjulia hali pamoja na kumuombea dua ikulu jijini Dar es Salaam(picha na Freddy Maro) unnamed3 
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na baadhi ya viongozi wa dini mbalimbali waliomtembelea na kumjulia hali pamoja na kumuombea dua ikulu jijini Dar es Salaam(picha na Freddy Maro)

No comments: