Sunday, January 11, 2015

EFATHA MORAVIAN KARIAKOO KWAYA WAKAMILISHA ALBAM YA SIFA NA UTUKUFU ITAKAYOWAJIA HIVI KARIBUNI INAYOANDALIWA KWA USTADI MKUBWA KAMPUNI MAKINI YA LTV.

KWAYA YA EFATHA WAKIWA KATIKA MAANDALIZI YA ALBAM YA VIDEO ITAKAYO WAJIA KWA JINA LA SIFA NA UTUKUFU. BWANA AWABARIKI WALE WOTE WALIOFANIKISHA KUFIKIA HATUA HII YA KUMALIZA KUREKODI IKIWA BADO YA EDITING  AMBAPO KWA MAOMBI YA PAMOJA  KUIFUNIKA KWA DAMU YA YESU  KAZI ILIYOBAKI ILI WATU KUBARIKIWA NA WATU WOTE KUMWONA MUNGU ALIYE HAI KWA KUPITIA HUDUMA HII YA UIMBAJI

KULIA LUKAS MBOYA AKIWA NA SIMON SONELWAKIFURAHI KWA HATUA NJEMA YA KUFIKIA SIKU YA MWISHO YA MAANDALIZI YA ALBAM YA NYIMBO ZA INJILI ITAKAYOITWA SIFA NA  UTUKUFU


KAZI YA KUAANDAA ALBUM YA SIFA NA  UTUKUFU IKIENDELEA

SIMON SONELO AKIWA NA B. MWAKALINDILE MPIGA GITAA LA BASS WA EFATHA

BERTHA MWAMPWANI AKIWA ANAIMBISHA KWAYA WAKATI WAKIENDELEA NA HUDUMA YA UAANDAAJI WA MKANDA WA MKANDA WA VIDEO ITAKAYOWAJIA HIVI KARIBUNI KWAA JINA LA SIFA NA UTUKUFU


UTUKUFU KWA MUNGU TU HAPA

SAUTI YA KWANZA WAKIMPA MUNGU SIFA NA  UTUKUFU KWA KUIMBA NA KUCHEZA

MRS MWENYEKITI WA KWAYA YA EFATHA AKIWA KATIKA POZI LA PICHA

EMMANUEL AMBAYE NI BWANA MIRADI WA KWAYA NA MWALIMU WA TEPU NA KIONGOZI WA MAANDALIZI YA ALBAM HII YA SIFA NA  UTUKUFU
KULIA MWENYEKITI WA KWAYA YA EFATHA  NSAJIGWA MWAFUMBILA AKIWA NA SIMON SONELO WAKIFUATILIA KWA MAKINI KAZI YA MUNGU IKIFANYIKA
SIFA NA UTUKUFU NI KWA MUNGU TU
KINGOTANZANIA-0752881456
Post a Comment