Sunday, January 11, 2015

RAIS KIKWETE AZINDUA NYUMBA ZA KISASA ZA MAKAZI YA WANAJESHI GOGO LA MBOTO, DAR ES SALAAM

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na
Balozi wa China nchini Mhe Lu Youqing alipowasili kuzindua nyumba za
kisasa za makazi ya wanajeshi Gongo la Mboto jijini Dar es salaam leo
Jumamosi 10, 2015. Wengine ni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga
taifa Dkt Hussein Mwinyi, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue,
Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange, na Mkuu wa Mkoa wa Dar es
salaam, Mhe Said Meck Sadick,PICHA NA IKULU unnamed2e 
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na
Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Luteni Jenerali Samuel Ndomba Mhe alipowasili
kuzindua nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi Gongo la Mboto jijini
Dar es salaam leo Jumamosi 10, 2015
unnamed3e 
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili tayari
kuzindua nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi Gongo la Mboto jijini
Dar es salaam leo Jumamosi 10, 2015 unnamed4e 
Sehemu nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi
zilizozinduliwa leo na Rais Kikwete Gongo la Mboto jijini Dar es
salaam leo Jumamosi 10, 2015 unnamed5e 
Sehemu nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi
zilizozinduliwa leo na Rais Kikwete Gongo la Mboto jijini Dar es
salaam leo Jumamosi 10, 2015 unnamed6e 
Wasanii wa Kikundi cha utamaduni cha JWTZ kikitumbuiza wakati wa
sherehe za uzinduzi wa nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi
zilizozinduliwa leo na Rais Kikwete Gongo la Mboto jijini Dar es
salaam leo Jumamosi 10, 2015 unnamed7e 
Sehemu nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi
zilizozinduliwa leo na Rais Kikwete Gongo la Mboto jijini Dar es
salaam leo Jumamosi 10, 2015
unnamed8e 
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunua
pazia kuzindua nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi akisaidiana na
Balozi wa China nchini Mhe Lu Youqing, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la
Kujenga taifa Dkt Hussein Mwinyi na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis
Mwamunyange Gongo la Mboto jijini Dar es salaam leo Jumamosi 10, 2015
unnamed9e 
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikweteakipiga makofi kuashiria uzinduzi wa  nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi akisaidiana na
Balozi wa China nchini Mhe Lu Youqing, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la
Kujenga taifa Dkt Hussein Mwinyi na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis
Mwamunyange Gongo la Mboto jijini Dar es salaam leo Jumamosi 10, 2015
unnamed10e 
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua
nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi Gongo la Mboto jijini Dar es
salaam leo Jumamosi 10, 2015 unnamed13e 
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akiwa katika picha ya pamoja na wadau mbalimbali wa mradi huo wa
nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi Gongo la Mboto jijini Dar es
salaam leo Jumamosi 10, 2015 unnamed14e 
 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akiwa katika picha ya pamoja na wadau mbalimbali wa mradi huo wa
nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi Gongo la Mboto jijini Dar es
salaam leo Jumamosi 10, 2015 unnamed15e 
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akiwa katika picha ya pamoja na wadau mbalimbali wa mradi huo wa
nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi Gongo la Mboto jijini Dar es
salaam leo Jumamosi 10, 2015 unnamed16e 
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akisalimiana na baadhi ya wanajeshi baada ya kuzindua  nyumba za
kisasa za makazi ya wanajeshi Gongo la Mboto jijini Dar es salaam leo
Jumamosi 10, 2015
unnamed17e 

unnamed19e 

unnamed20e 

unreaded12e 

No comments: