Tuesday, February 17, 2015

TUMSHUKURU MUNGU KWA KUWA WAZIMA NA AMANIJitazame kuanzia juu mpaka chini Kisha jiulize kimoyomoyo  wewe na Mimi tuna tofauti gani?
Mshukuru Mungu wako kwa uzima aliokupa na Amani katika Taifa lako.
Post a Comment