Thursday, March 19, 2015

TAARIFA YA KIFO CHA MAMA ANGOLWISYE MARY SAMALINGA MWAKAFUNGA ALIYEFARIKI TAREHE 18.03.2015 KATIKA HOSPITALI YA WILAYA YA RUNGWE TUKUYU MJINI NA ANATARAJIA KUZIKWA NYUMBANI KWAKE KATIKA KIJIJI CHA NJISI USHIRIKA TUKUYU TAREHE 02.03.2015 NYUMBANI KWAKE KIJIJI CHA NJISI USHIRIKA NA KUTANGULIWA NA IBADA ITAKAYOFANYIKA KANISA LA MORAVIANI USHIRIKA TUKUYU

MAREHEMU ANGOLWISYE MARY SAMALINGA ENZI ZA UHAI WAKE 1938 - 2015
  
KUSHOTO MAMA SAMALINGA AKIWA ANACHEZA PAMOJA NA WATOTO WAKE KATIKA MIJA YA SHEREHE YA HARUSI YA MJUKUU WAKE SYLIVESTA ILIYOFANYIKA HIVI KARIBUNI

KATIKATI NI SAUL AMON AKIWA ANAWATAMBULISHA MAMA ZAKE KULIA NDIYE MAMA YAKE MZAZI NA SAUL H. AMON AMBAYE NDIYE MMIRIKI WA MAHOTEL YA LANDMARK

KULIA MAMA SAMALINGA AKIFURAHI KWA KUCHEZA NA WANAE PAMOJA NA WAJUKUU ZAHU HUKU VITUKUU WAKE WAKIWA SAMBAMBA KUFURAHI PAMOJA NAYE


KUSHOTO NI MMOJA WA MAREHEMU WA KIKE KATIKATI NI MKE WA S.H AMON NA KULIA MR ADEN MJUKUU WA SAMALINGA

KULIA MAREHEMU SAMALINGA AKIWA NA MMOJA WA WAJUKUU ZAKE

MR & MRS SAUL H. AMON
BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE
Post a Comment