Spika wa Bunge Anne Makinda akimpa
pole mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda (kulia) ambaye alifiwa na
baba yake Mzazi, Mzee Abdallah Rehani , Nyumbani kwa marehemu,Tabata
jijini Dar es salaam Aprili 4, 2015 . Wengine pichani ni ndugu wa karibu
wa Mama Pinda.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akisalimiana na Katibu Mkuu wa CHADEMA, DR. Wilbroad Slaa katika mazishi
ya babamkwe wake yaliyofanyika kwenye Makaburi ya Segerea jijini Dar es
salaam Aprili 4, 2015.. Kushoto ni Katibu Mkuu wa CUF, Seif Sjharif
Hamad.
Waombolezaji wakisoma dua ya
kumwombea marehemu Abdallah Rehani, Baba Mzazi wa Mke wa Waziri Mkuu,
nyumbani kwa Marehemu, Tabata jijini Dar es sAlaam Aprili 4, 2015.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akisalimiana na Katibu Mkuu wa CUF na Makamu wa Kwanza wa Rais wa
Zanzibar,Seif Sharif Hamad (katikati) na Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar, Balozi Seif Iddi katika mazishi ya Baba mkwe wake
yaliyofanyika kwenye makaburi ya Segerea Jijini Dar es salaam Aprili 4,
2015
Waombolezaji wakizika mwili wa
baba mzazi wa mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda , Marehemu Abdallah
Rehani kwenye Makaburi ya Segerea jijini Dar es salaam, Aprili 4, 2015.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akishiriki katika mazishi ya Baba Mkwe wake , Marehemu Abdallah
Rehani kwenye makaburi ya Segerea jijini Dar es salaam Aprili 4, 2015.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa
Zanzibar, Seif Sharif Hamad akishiriki katika mazishi ya Baba mzazi
wa Mke wa Waziri Mkuu, Marehemu Abdallah Rehani kwenye makaburi ya
Segerea jijini Dar es salaam Aprili 4, 2015.
Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar, Balozi Seif Iddi akishiriki katika mazishi ya Baba mzazi wa
Mke wa Waziri Mkuu, Marehemu Abdallah Rehani kwenye makaburi ya Segerea
jijini Dar es salaam Aprili 4, 2015.
Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dr.
Wilbroad Slaa akishiriki katika mazishi ya baba mzazi wa Mke wa
Waziri Mkuu, Marehemu Abdallah Rehani yaliyofanyika kwenye makaburi ya
Segerea jijini Dar es salaam Aorili 4
Baadhi ya Viongozi wa Vyama vya
Siasa na Serikali walioshirikikatika mazishi ya Baba Mzazi wa Mke wa
Waziri Mkuu, Marehemu Abdallah Rehani yaliyofanyika kwenye makaburi ya
Segerea jijini Dar es salaam Aprili 4, 2015.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na
Makamu wa Kwanza wa rais wa Zanziba Seif Sharif Hamad wakitoka kwenye
eneo la makaburi ya Segerea jijini Dar es slaam baada ya mazishi ya baba
mzazi wa Mke wa Waziri Mkuu, Marehemu Abdallah Rehani Aprili 4, 2015.
Kushoto ni Waziri Mkuu, Mstaafu, Frederick Sumaye na na mwenye koti
jeusi katikati ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Iddi.
No comments:
Post a Comment