Sunday, April 5, 2015

SALAM ZA PASAKA HII NI KUTOKA KWA BARAKA MASEBO (FB)

Umemuonyesha Unampenda,umesota weee kumtoa Lunch na Dinner lakini wapi..Meseji anajibu akijisikia....Ukimwambia I miss you anajibu "K"...Ukipiga Simu hapokei na akipokea anaongea kama Mtu anayejiandaa kufumaniwa na mke wa Mwanajeshi ili ukate simu...Kwa kifupi anakuringia waziwazi...Baada ya kuona hutakiwi ukapunguza Mawasiliano,ukaona isiwe tabu..Mwanamke hayuko peke yake..Uve shown her enough Love but she has taken you for granted...MARA GHAFLA baada ya miezi 2 umempotezea anaanza yeye sasa...Meseji..Simu...Appointments..Usipomjibu analalamika...Yuleyule aliyekuwa anakujibu kwa kiburi ONGEA FASTA NNA KAZI..

Ukiona Demu anarudi na Mapenzi ya Spidi hivi kama Intaneti ya SMILE baada ya kukukataa na kuleta pozi zamani KUNA MAWILI:


1.Huko alikokuwa anakuringia AMETOSWA sasa amekumbuka kuna fala wake ulikuwa UMEOZA Kwake anakucheki kama BACK UP


2.Kodi yake imeisha sasa anajiandaa kujilengesha kwako,Ukipiga tuuu utasikia "BABE KODI YANGU IMEISHA na mwenye nyumba mkali kweli,if you really love me please help"....Kodi Sh ngapi?...Milioni 3...

 
Bora nimnunulie babangu VITZ aniwekee mikono ya baraka ya Pasaka!
Post a Comment