Monday, April 13, 2015

STUDIO YA KISASA YA AUDIO KINGDOM RECORDS YAZINDULIWA RASM MKOANI MBEYA NA MKUU WA JIMBO LA MBEYA MCH WA KKKT NEEMA MWAMAFUPA KATIKA JENGO LA KANISA LA KKT USHARIKA WA ISANGA, STUDIO INAYOMILIKIWA NA DR TUNTUFYE MWAMUGOBOLE NA MKEWE DR EPIPHANIA MWAMUGOBOLE

STUDIO YA KISASA KWA AJILI YA KUANDAA NYIMBO ZA INJILI KWA WATU BINAFSI NA VIKUNDI MBALIMBALI VYA KWAYA  NA VIPINDI VYA DINI RADION IMEZINDULIWA RASMI JIJINI MBEYA KATIKA MAJENGO YA KKKT USHARIKA WA ISANGA HUKU MKUU WA JIMBO LA MBEYA MCH NEEMA MWAMAFUPA AKIWATAKA WAKIRISTO WOTE KUJIANDAA KUITUMIA STUDIO HII YA KINGDOM RECORD STUDIO INAYOMILIKIWA NA DR TUNTUFYE J. MWAMUGOBOLE NA MKEWAKE DR EPHANIA MWAMUGOBOLE

MKUU WA JIMBO LA MBEYA MCH NEEMA MWAMAFUPA AKIWAONGOZA WAUMINI KATIKA IBADA FUPI YA UZINDUZI WA STUDIO YA KISASA KINGDOM RECORD ILIYOPO KATIKA MAJENGO YA KKKT USHARIKA WA ISANGA MBEYA MJINI

MKUU WA  JIMBO LA MBEYA MWAMAFUPA AKIOMBEA VIFAA MBALIMBALI VYA STUDIO

ISHARA YA KUKATA UTEPE IKIASHIRIA KUWA TAYARI STUDIO IMESHAZINDULIWA NA MCH NEEMA MWAMAFUPA MKUU WA JIMBO LA MBEYA  AMBAPO STUDIO ITAKUWA NA CHUMBA CHA MITAMBO KWA MAANA YA SEHEMU YA MTAALAM WA KURECODI NA CHUMBA KWA AJILI YA WAIMBAJI PIA STUDIO IMEANDAA HOSTEL KWA AJILI YA MALAZI  KWA KWAYA AU KIKUNDI KITAKACHOKUJA KUREKODI AMBAPO KUTAKUWA NA CHUMBA CHA WAVULANA NA CHUMBA CHA WASICHANA PIA CHUMBA CHA VIONGOZI  KWAMAANA YA WACHUNGAJI AU KIONGOZI ANAYEONGOZANA NA KUNDI HUSIKA NA PIA HUDUMA ZA VYAKULA NA VINYWAJI ZITAPATIKANA HAPO

MKURUGENZI MTENDAJI WA KINDOM RECORDS DR TUNTUFYE MWAMUGOBOLE AKIONGEA MACHACHE WAKATI WA UZINDUZI WA STUDIO YAKE YA KISASA AMBAPO AMEWATAKA WAKAZI WA MBEYA NA MIKOA YOTE KUJA KUFANYA KAZI ZA KIINJILI KUPITIA STUDIO YA KINGDOM AMBAPO AMEWAHAKIKISHIA KUFANYA KAZI ILIYO BORA NA WEREDI MKUBWA KWA KUWA AMEKUWA NA MAONO KUJA KUWA MMILIKI WA STUDIO YA KISASA AMBAYO ITAKIDHI HAJA YA VIWANGO BORA KATIKA UAANDAAJI WA ALBAM ZA KWAYA MBALIMBALI AMESEMA KUWA ANAJIANDAA KUWA NA RADIO NA TELEVISION YA KINGDOM PIA  ATAKUWA NI MUANDAAJI WA MIKUTANO YA INJILI NA MATAMASHA YA UIMBAJI

MKURUGENZI WA KINGDOM MEDIA  DR TUNTUFYE J. MWAMUGOBOLE AKIWA NA MKEWAKE DR EPIPHANIA MWAMUGOBOLE WAKATI WA IBADA YA SHUKRANI NA UZINDUZI WA STUDIO YA KISASA YA KINDOM RECORD

IBADA IKIENDELEA HUKU WENGINE WAKIFUMBA MACHO NA WENGINE KUFUMBUA MACHO

DR TUNTUFYE MWAMUGOBOLE AKIONGOZA KUIMBA KWAYA YA UINJILISTI FOREST KATIKA UZINDUZI HUO

KINGOTANZANIA AKIONGEA NA FESTO MWAKYUSA KUTOKA FINLAND KUPITIA ONLINE MTANDAO WA SKYPE AMBAPO AMEWATAKA WATANZANIA  KUITUMIA STUDIO YA KINGDOM RECODS KWAKUWA IMEJIPANGA KUFANYA KAZI NZURI NA KWA UAMINIFU MKUBWA KWA KUFUATA MKATABA UTAKAOWEKWA ILI KUFANIKISHA KAZI HUSIKA
KINGOTANZANIA - 0752 88 14 56
Post a Comment