Friday, September 18, 2015

JK AZINDUA MAJENGO PACHA YA GHOROFA 35 YA PSPF TOWERS

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa pensheni wa PSPF Bw. Adam Mayingu alipowasili kuzindua majengo pacha ya ghorofa 35 ya PSPF TOWERS mtaa wa Sokoine jijini Dar es salaam leo Septemba 16, 2015
 Mrisho Mpoto na Mjomba Band wakitumbuiza kwenye sherehe za majengo pacha ya ghorofa 35 ya PSPF TOWERS mtaa wa Sokoine jijini Dar es salaam leo Septemba 16, 2015
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mkurugenzi Mkuu wa PPF Bw. William Erio na Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Dr. Ramadhani Dau  alipowasili kuzindua majengo pacha ya ghorofa 35 ya PSPF TOWERS mtaa wa Sokoine jijini Dar es salaam leo Septemba 16, 2015
 majengo pacha ya ghorofa 35 ya PSPF TOWERS mtaa wa Sokoine jijini Dar es salaam yaliyozindulia  leo Septemba 16, 2015
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea jambo na  Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa pensheni wa PSPF Mkurugenzin Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu katika sherehe za kuzindua majengo pacha ya ghorofa 35 ya PSPF TOWERS mtaa wa Sokoine jijini Dar es salaam leo Septemba 16, 2015
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete hutubia kabla ya kuzindua rasmi majengo pacha ya ghorofa 35 ya PSPF TOWERS mtaa wa Sokoine jijini Dar es salaam leo Septemba 16, 2015
 Sehemu ya wageni na wafanyakazi wa PSPF  kuzindua majengo pacha ya ghorofa 35 ya PSPF TOWERS mtaa wa Sokoine jijini Dar es salaam leo Septemba 16, 2015
 Makandarasi waliojenga majengo pacha hayo wakisimama kutambuliwa
 Makandarasi waliojenga majengo pacha hayo wakisimama kutambuliwa
Post a Comment