Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Abass Kandoro
alipowasili kwenye Uwanja wa ndege wa Songwe mkoani Mbeya kwa ajili ya
kuhudhuria sherehe ya kuwekwa wakfu Askofu mteule wa Kanisa la Morovian
Tanzania Jimbo la kusini Mchungaji Kenan Salim Panja zilizofanyika
katika Uwanja wa michezo wa Tandale mjini Tukuyu Mkoani Mbeya.
Kwaya ya Kanisa la Morovian Tanzania Jimbo kuu la kusini wakitoa
burudani wakati wa sherehe ya kuwekwa wakfu Askofu Kenan Salim Panja
iliyofanyika katika Uwanja wa michezo wa Tandale mjini
Tukuyu Mkoani Mbeya.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal akisalimiana na Askofu mteule wa Kanisa la Morovian Tanzania
Jimbo la kusini Mchungaji Kenan Salim Panja wakati wa sherehe ya
kuwekwa wakfu iliyofanyika katika Uwanja wa michezo wa Tandale mjini
Tukuyu Mkoani Mbeya.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal akiwahutubia waumini mbali mbali katika ibada maalum ya kuwekwa
wakfu Askofu Kenan Panja.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal akimpongeza Askofu mteule wa Kanisa la Morovian Tanzania Jimbo la
kusini Mchungaji
Kenan Salim Panja baada ya kumalizika kwa sherehe ya kuwekwa wakfu
iliyofanyika
katika Uwanja wa michezo wa Tandale mjini Tukuyu Mkoani Mbeya.
No comments:
Post a Comment