Wednesday, May 31, 2017

TAARIFA ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE...

TAARIFA ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE KUTOKA KIJIJI CHA LULASI KATA YA MPOMBO MWAKALELI KATIKA HALMASHAURI YA BUSOKELO INASEMEKANA MWILI WA MWANAMKE MMOJA ALIYEFAHAMIKA KWA JINA LA SARAH KALOBO UMEPATIKANA UKIWA UMEFUNGWA KATIKA MFUKO NA KUFUKIWA CHINI YA ARDHI KILOMETA MOJA NA NUSU KUTOKA NYUMBANI KWAKE NA MUME WAKE LUTENGANO MWANKOBELA AMBAYE HADI SASA AMETOROKA KIJIJIN HAPO LULASI. 

MAREHEMU SARAH KALOBO AMEKUTWA AMEKUFA BAADA YA KUTAFUTWA SIKU SITA BILA YA MAFANIKIO NA KUKUTWA SIKU YA SABA  AKIWA AMEKUFA


TAARIFA KAMILI ZITAKUIJIA HAPAHAPA
Post a Comment